Rose Muhando – Simba mp3
Play Audio
Simba Lyrics – Rose Muhando
Simba lololo, simba anaguruma
Simba lelele, simba anaguruma
Simba wa kike anaguruma leo, simba anaguruma
Simba nyikani anaguruma wowo, simba anaguruma
Simba porini anaguruma leo, simba anaguruma
Mwambieni yule mbweha, nimerudi kutoka njangwani
Nimesimama tena kwenye zamu yangu
Wapeni habari wale umbwa
Hii si bahati mbaya, mbingu zimeniamini
Mungu amenidhibitisha
Mpe salamu Yezebeli
Nimerudi kutoka njangwani
Nimesimama tena kwenye zamu yangu
Wapeni habari wale umbwa
Hii si bahati mbaya, mbingu zimeniamini
Mungu amenidhibitisha
Simba lololo, simba anaguruma
Simba lelele, simba anaguruma
Simba anaguruma, simba anaguruma
Simba anaguruma, simba anaguruma
Kumcha bwana ndio jeuri yangu, simba
Kumjua Mungu ndio jeuri yangu, simba yeyee
Malengo yangu mimi ni Mungu wangu, simba yeyee
Fahari yangu mimi ni Mungu wangu, simba yeyee
Simba lelele (Mawindoni niko mawindoni)
Simba wa kike hodari katikati ya mawindo
Nitatenda kwa akili, kuyafumbua mafumbo
Nitanguruma alfajiri, jioni nilete mawindo
Sitanyamaza mpaka Mungu anipatie utukufu
Simba lelele (Mawindoni niko mawindoni)
I’m a champion (Yeah yeah)
Champion (Yeah yeah)
Super champion (Oh Yeah yeah)
Mimi champion, I’m a winner
I’m a champion (Yeah yeah)
Champion (Yeah yeah)
Super champion (Oh Yeah yeah)
Mimi champion, I’m a winner
I’m a champion (Yeah yeah)
Champion (Yeah yeah)
Super champion (Oh Yeah yeah)
Mimi champion, I’m a winner
Simba lololo, simba
Rose Muhando – Simba mp3