Umejawa Utukufu Lyrics – Essence Of Worship Ft Eliya Mwantondo
Loading…
About Song
Ufunuo wa Yohana 5:12-14 12 Kwa sauti kuu malaika walisema: “Mamlaka yote, utajiri, hekima na nguvu ni kwa Mwanakondoo aliyeuawa. Anastahili kupokea heshima, utukufu na sifa!” 13 Ndipo nikasikia kila kiumbe kilichoumbwa kilichoko mbinguni na duniani na chini ya dunia na baharini, viumbe vyote sehemu hizo vikisema:
“Sifa zote na heshima na utukufu na nguvu kuu ni kwa ajili yake Yeye aketiye kwenye kiti cha enzi na kwa Mwanakondoo milele na milele!” 14 Viumbe wenye uhai wanne wakasema, “Amina!” Na wazee wakainama chini wakasujudu.