Pammy Ramz – Roho mp3
Play Audio
Roho Lyrics – Pammy Ramz
Sita waacha yatima
Nta tuma msaidizi
Awafunze na awakumbushe niliyo yanena Jana
No, sita waacha pekeyenu
Ntarudi kwenu ah
Walimwengu hawataniona
Nitaishi ndani yenu
Rafiki yangu ROHO
ROHO was Mungu
ROHO wa kweli na Wa ufunuwo
Rafiki yangu ROHO
ROHO wa Mungu
Wa ujasiri, upendo, ROHO wa ushirika
( Wa ujasiri upendo, ROHO wa ushirika)
Mmmhh
Kwako ROHO napata hekima
Kwako ROHO napata amani
Kwako nimejifunza kuskia
Kwako ROHO napata uzima
Kwako ROHO napata ufahamu
Kwako mimi napata utulivu
( Sauti yako ni tamu kama Nini)
Kwako nimejifunza kuskia
(Niheri wote wanyamaze, Nikusikilize tu)
Kwako nime jifunza kuskia
( Niji funze kuskia na sikiyo la ndani, Yesu oohh)
Kwako nimejifunza kuskia)
(Rafiki ROHO, rafiki ROHO)
Kwako nimejifunza kuskia
(Rafiki ROHO, rafiki ROHO)
Kwako nimejifunza kuskia.
Pammy Ramz – Roho mp3
Gospel Songs By Country
- American Gospel Songs
- Australian Gospel Songs
- Congo Gospel Songs
- English Gospel Songs
- Ethiopian Gospel Songs
- French Gospel Songs
- Ghana Gospel Songs
- Indian Gospel Songs
- Ivorian Gospel Songs
- Jamaican Gospel Songs
- Kenyan Gospel Songs
- Liberian Gospel Songs
- Nigerian Gospel Songs
- South African Gospel Songs
- Tanzanian Gospel Songs
- Ugandan Gospel Songs
- Zambian Gospel Songs
- Zimbabwe Gospel Songs
Steve Crown Songs
- All The Glory
- Amen
- Angels Bow
- Awesome God
- Bigger
- Ejiro
- Eze Nara Ekele
- God Of Wonders
- Healing Wings
- Hosanna
- Imela
- Jaginma
- Mighty God
- Sunansa
- We Wait On You
- Yesu Na
- You Are Great
- You Alone
- You Reign
- You Are Yahweh
- Your Love